Monday, October 26, 2015

NAPE NNAUYE ASHINDA UBUNGE JIMBO LA MTAMA

Nape Nnauye

Katibu wa Itikadi na uenezi CCM Nape Nnauye ameshinda kiti cha Ubunge jimbo la Mtama, jimbo lililokua chini ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe.

Nape Nnauye ameweza kushinda kwa jumla ya kura 28,110, Methew mgombea wa CHADEMA amepata kura 13,918 na Mchinjika wa CUF amepata kura 10,547

5 comments:

Sights & Sounds of Tanzania said...

Congrats NN

Unknown said...

Hongera nape tunaimani ya kwamba bunge limepata mpiganaji wa kweli.

Anonymous said...

You go Nape, Job well done, congrats!

Anonymous said...

msaliti asante.

Anonymous said...

wananchi wa Jimbo la Mtama tunatumaini utafanya kazi ukishirikiana na wananchi katika kuleta maendeleo ya jimbo letu. na kwamba utajaribu kwa kadiri ya uwezo wako kushirikina na wananchi kuondoa kero zinazowakabiri wananchi hawa kwa muda mrefu bila kujali changamoto zote ulizozipata wakati wa kuomba ridhaa kutoka kwa wananchi hawa. kubwa uwaonyeshe wananchi kwamba walichokuwa wanadhani sicho kwa kuwasaidia na kuwajali kama ulivyoanza kazi hizo mapema miezi michache iliyopita. nguvu hiyo iendelee na mimi nakuombea kwa Mungu Mwenyezi akupe moyo wa upendo na ujasili katika kuleta maendeleo ya wana Mtama na kusahau changamoto zote.