ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 26, 2015

YALIYOJIRI LEO KATIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE YALIPOKUWA YANATANGAZWA MATOKEO YA AWALI YA URAIS

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari na waangalizi wa kimataifa wakati akitangaza matokeo ya awali ya urais Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima
 Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.
 Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.
 Jaji Lubuva akijiandaa kutangaza matokeo hayo ya awali.
 Maofisa wa NEC wakiwa kwenye mkutano huo.
 Wadau wa siasa wakiwa kwenye mkutano huo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)


5 comments:

Anonymous said...

Makubwa!!! Madogo yana nafuu. WaTanzania hatutakaa tusonge mbele kwa uongozi huu wa kuibiana..

Anonymous said...

Tangu kuanza kwa daftari la wapiga kulianza na dosari kibao na uongo mkubwa kitu ambacho kiliashiria wazi kabisa uvunjifu wa haki katika uchaguzi uliokuwa unakuja. Pili tume ikiwa inaelewa wazi kabisa kuna upigaji kura October 25, haikuweza kuwasilisha vifaa mahali husika ili mapema viwepo vituoni. viongozi wameweka mbele kulindana na kuiba kura ili waendelee kuibunjua Tanzania.

Anonymous said...

Pumba na upuuzi mtupu. Ngoja mtakipata. #Hapa kazi tu.

Anonymous said...

Kwa upanga tu ndo amani

Anonymous said...

Anonymous wa October 27, 2015 at 11:15 Am - Jaribuni kutumia huo upanga muione cha mtema kuni!!!