Saturday, October 24, 2015

USTADH MASOUD MAFTAH AKIWA VIWANJA VYA JANGWANI

Ustadh Masoud Maftah akiwa viwanja vya jagwani  sambamba na  mgombea urais kupitia chama tawala CCM dkt Magufuli, hapa ustadh maftah akipata ukodak  na mwanachama wa ccm aliekunywa maji ya bendera.
Ustadh Masoud Maftah ambae pia ni mwenyekiti wa CCM Conventional Club akipata ukodak viwanja vya Jangwani wakati wa kufunga kampeni za ccm mkoa wa Dar-es-Salaama.

2 comments:

Anonymous said...

Wataiga kunya CCM CCM
Lowassa Lowassa
Jembe chaguo letu

Anonymous said...

Kuanzia Jumatatu Lowassa atakuwa Monduli anachunga ng'ombe wake. Magufuli Oyeeee!!!!!