Advertisements

Friday, October 9, 2015

WALITAKA KUNIHONGA FEDHA NYINGI NA UKUU WA WILAYA-MGOMBEA UBUNGE VUNJO INOCENT SHIRIMA

6 comments:

Anonymous said...

Boko boko hili mchicha WA bwana

Anonymous said...

Bora u gechukuwa mshiko
Sasa hata 100 hupati
Mwongo wewe njaa tu
Ukawa Hakuna cheo cha mkuu WA wilaya sorry

Anonymous said...

tulchoshuhudia huko vunjo ni kwamba mgombea wako wa urais john magufuli jana tarehe 8 octoba 2015 alikua vunjo na amewaambia wananchi mbele yako kwamba wamchague agustine mrema na wewe pale ulionekana unacheka cheka tuu,au ni zuzu.inaelekea ccm walikupitisha mara baada ya kutoka mirembe,wote,wewe,mrema na magufuli.tumewaona tuachieni tuwapime.kwa nini hamumtumii makongoro kwa ushauri?

Anonymous said...

Mchumia tumbo tu huyu, hana lolote, ndiyo maana alikaa kimya wakati Magufuli akimdhalilisha kwa kuunga mkono Mgombea wa TLP Lyatonga Mrema mbele yake, akiahidi kumpa cheo kingine atakapokuwa Rais. Magufuli anaahidi kugawa vyeo kama njugu, Mrema kaahidiwa Uwaziri kwenye Baraza la Mawaziri la Magufuli, is this not a joke, jamani!! Kwani hakuna Watanzania wenye uwezo wa kuendesha hii nchi kubadala ku "recycle" watu waliokwisha kama Mrema. Kwa staili hii, basi kama CCM itashinda haatutafika popote. Mungu atusaidie kuvuke salama mtihani huu. Sijui shetani gani katufunga macho, midomo, mikono na miguu! We need to wake up nd take bold decisions for the future of the country and future generations. We should not make a msitake of waiting for another 5 years tying the same same old tricks which have not led us to the promise dland for over 50 years!

Anonymous said...

YES LEST BE ASSURED THAT WE ARE NOW,SERIOUSLY COUNTING A NEW PAGE ALLTOGETHER.THIS IS A VERY TASTY YEAR FOR ALL TANZANIANS AND,WE, THE MAJORITY ARE READY FOR CHANGE.HONOURABLE EDWARD NGOYAI LOWASSA IS OUR CHOICE,AND,SEE THIS IS AN ABSOLUTELY SINGLE CHOICE.BE ASSURED.

Anonymous said...

Lowassa will not be elected President, sorry.