WANASIASA KILA KUKICHA NI KUWADANGANYA WANANCHI NA KUPINGANA NA KAULI ZAO WENYEWE SIASA KAMA HIZI NDIZO ZNAZOIANGAMIZA TANZANIA
6 comments:
Anonymous
said...
Viongozi wengi wanatambua udhaifu walionao watanzania wa kutokuweka kumbukumbu,kutokuwa na uthubutu wa ku wahold viongozi accountable kwa kauli na matendo yao.Siasa zetu zinaongozwa na ushabiki zaidi kuliko hoja na bila kuzingatia vigezo vya mtu kuwa kiongozi. Leo hii Sumaye anampigia debe Lowasa !
Hii ni aibu kubwa sana kuwa na viongozi wasiojali au kupuuza maadhili-etics- hawaogopi na hawaoni haya mbele ya watanzania. Tanzania, kwa zaidi ya miaka ishirini, viongozi wa upunzani wa kuheshimiwa walikuwa Dr. Slaa na Prof. Lipumba- wamemwaga damu kutetea haki za watu. Sasa inakuaje watu waliokuwa CCM ndio wamekuwa viongozi wa upinzani? Kwa Uzee wao, unathadhani wanaweza kubadilisha sera yeyote bila kufuata sera ya CCM?. You can not teach an old dog new tricks!!!
Hapa anayelengwa zaidi ni nani katika wote wanaolengwa. Tatizo la WaTanzania na wanaSiasa wameifanya nvhi kama jambi la wendawazimu. Wanasiasa wengine Elimu ya darasa la nane.! Kwa karne hii ukweli hakuna kiongozi mzuri ndani ya CCM yusidanganyane!
Ndio maana tunasema sisi watanzania ni watu wa hovyo sana , vipi leo watu wanaacha shughuli zao kwenda kujazana mikutanoni kumsikiliza mtu kama huyu? Siku zote tunasema Sumaye na Lowasa ni mafisadi. Ukimuona mtu anetafuta uongozi wa umma alafu anakusanya watu waovu wa kauli zao kwa maana ya kwamba wataamu wa kuupinduwa ukweli ili kuupotosha umma ilimradi tu waingingie ikulu ujue hiyo ni hatari sana. Vipi leo mtu mwenye akili timamu aamini anachokisema Sumaye? Vipi leo Sumaye kama msemaji mkuu wa Lowasa na mtangaza sera zake tusiamini kuwa wote ni wadanganyifu? Kilichokuwepo juuu ya hawa mwazee wawili ni upotofu ulioza wa kimaadili kwa bahati mbaya watanzania wengi akili zetu zimeoza ndio maana akina Sumaye wanathubutu kutudanganya mchana kweupe halafu tunampigia makofu halafu, tena miongoni mwa wanaompigia debe Sumae kuwa ni kiboko anapopanda kwenye majukwaa ya Campaign ni waandishi habari tena wanajiita wsliobobea? Mimi si mwaandishi wa habari lakini najua sifa moja ya mwaandishi habari ni kuwa na uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu sasa leo Sumaye haijaifikia hata miezi mitatu anatugeuzia maneno alafu anapigiwa makofi ama kweli kuwa mtanzania wakati mwengine ni shida sana .

Acheni siasabza maji taka na uccm!!
Hapa anayelengwa zaidi ni nani katika wote wanaolengwa. Tatizo la WaTanzania na wanaSiasa wameifanya nvhi kama jambi la wendawazimu. Wanasiasa wengine Elimu ya darasa la nane.! Kwa karne hii ukweli hakuna kiongozi mzuri ndani ya CCM yusidanganyane!
Ukweli ni kuwa vyama vyote vina viongozi wazuri na wabaya ila wazuri ni wengi zaidi.

Post a Comment