Saturday, October 24, 2015

WIMBO MPYA WA TINA BEIBE-ASUMBA

Tina Christina Mghazo a.k.a ‘Tina Beibe’ni msanii wa kike ambaye anaishi Moshi, Tanzania, anaumri wa miaka 25. Tina ameachia Track yake mpya ambayo inaitwa ‘Asumba’ Feat. King Syrus Produced by King Cyrus Sound Production Moshi. Kwa sasa yupo chini ya management ya Baba yake ambaye anaitwa Nashipai, Hivyo basi Tina wakati akikabidhi kazi yake alifunguka kidogo na kueleza kuwa;

“Muziki wa bongo fleva kwa sasa unamuelekeo mzuri na malengo yangu hapo baadae ni kuhakikisha nafungua Bandi yangu coz muziki nilianza kuupenda since nilipo kuwa mtoto, so nitahakikisha kuwa mimi na muziki muziki na mimi mpaka kieleweke, Asumba ni project yangu ya kwanza kuachia naomba mashabiki na wadau wa muziki mnipe suport ya kuweza kunisogeza mahali panapo takiwa kimuziki, video is coming soon nawapendeni sana maoni yenu na ushauriwenu ndio nguzo ya maendele ya muziki wangu” Enjoy my Music here: https://www.hulkshare.com/victor68/tina-baibe-ft-king-cyrus-asumba-official-music

1 comment:

Maggie said...

Tina! Umeimba vizuri sana keep it up.mungu azidi kukubariki.