"8 Breakers (Tanzanian Pool Team)" Inawakaribisha wote siku ya jumamosi Tar. 14 Novemba,katika ukumbi wa Mi-Patria Restaurant
5906 Riggs Rd, Hyattsville, MD 20783 kuanzia saa kumi Jioni(4 pm ET), ambapo watakua na mechi ya kirafiki na Team ya Zambia.
Wote mnakaribishwa kushangilia Timu yetu ya WaTanzania wenzetu.
Uzalendo kwanza.
No comments:
Post a Comment