ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 22, 2015

Fundraiser for BUKOBA Projects


7 comments:

Anonymous said...

ACHENI UKABILA JAMANI, KWA NINI KILA FUNDRAISING YA BUKOBA@KAGERA INATANGAZWA KATIKA BLOGU HII? LAST TIME KULIKUWA NA FUNDRAISING FOR BIHARAMULO VIA CHILD SURVIVAL INTL..PALE EMBASSY, THEN SHINA NAO VIA A CHURCH GANI? WALITANGAZA FUNDRAISING KWA WATOTO WA MKOA WA KAGERA, NA SASA TENA THE SAME BLUH BLUH... ISN'T THIS, PROMOTION YA UKABILA? JEE? SISI WAGOGO, WAHEHE, WACHAGA, WAKURYA WAMANG'ATI ETC.. NASI TUNAWEZA KUPEWA SAUTI NDANI YA MABLOGU YA DMV? WAKE UP FOLKS NI MIAKA 54 TOKA TUPATE UHURU, HAYATI RAIS NYERERE ALIPINGA SANA UKABILA, NASHANGAA KUONA DMV INASUJUDU HALI HII!

Anonymous said...

First come,first service.

Anonymous said...

wewe anomymous wa 5:37am acha ushamba. na nyinyi wagogo fanyeni yenu kwani nani kawakataza???!!!! ebo kama mko wawili hapa dmv hiyo shauri yenu. hii free country waache watu wafanye wanavyotaka maadamu hawafunji sharia. wivu tu umekujaaa, eti na nyinyi mnaweza kupewa sauti ktk blogu. hii blogu ya jamii haibagui mtu wala kabila. wewe ndio unaleta fikra zako za ukabila.

Anonymous said...

Nyie wagogo...kwani mmkekatazwa kuleta tangazo vijimambo. .? Hamjaleta ndio maana halijawekwa...vijimambo haibagui tangazo la wahaya, wasukuma, wagogo ni ya watanzania wote. ..tumshukuru Luka kutuunganisha...

Anonymous said...

Kazi kweli kweli,na waarabu jeeee.

Anonymous said...

Fanya utafiti kabla kuchochea ukabila. SHINA Inc ipo sehemu mbalimbali. Jaribu Shengejuu Pemba, Makunduchi Unguja, Ilemela Mwanza.

Je unyeandika kulaumu unajua AHEAD ilianzia wapi?

ACHENI ROHO YA KWA NINI. Hapa kazi tu

Yonga2012 said...

AHEAD imefanyakazi Kazi Shinyanga Kishapu, Kisarawe, Pwani Na Pia Arusha Na Dar. Tujenge tabia ya Utafiti kabla ya kupanua kinywa!