Advertisements

Friday, November 27, 2015

HIVI NDIVYO WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ALIVYOTEMA CHECHE TRA

3 comments:

Anonymous said...

Kimenukaaaa

Anonymous said...

Hongera sana sana muheshimiwa waziri mkuu hakuna wa kushukuriwa isipokuwa M/mungu kwa kutujaalia viongozi waadilifu. Sasa hapa utaona dhahiri kwanini baadhi ya viongozi ndani ya CCM walikuwa wanampiga vita kwa hali na mali asichaguliwe kuwa raisi hadi wengine walijaribu kukimbilia upizani ili kujaribu kumstopisha lakini aliloandika Mungu wakati ukifika hakuna wa kulizuia. Kwa pesa zinazopigwa daresalam na mafisadi kutoka katika taasisi za serikali hasa bandarini sishangai kwanini Magufuli alikuwa na wakati mgumu zidi ya upizani. Nnaimani vijana hasa wa daresalam walinunuliwa na kutapeliwa na mafisadi kumpinga magufuli bila ya kujua kwamba walikuwa wakitumika ili kuwalinda watu waliokuwa wanaiba haki zao. Mungu ni mpenda sana amani na anawapenda sana wadumisha amani na ndio maana ameamua kuwatunikia watanzania viongozi waliokuwa wakiwalilia na kuwatafuta kwa amani ili waje kuwaongoza katika misingi ya haki, M/mungu amekisikia kilio cha watanzania na wamewajibu vizuri sasa ushirikiano unahitajika kwa viongozi hawa wapya kwa kuwa wao sio malaika.

Anicetus said...

Hapa kazi tu. Dr. JPM na timu yake wanafanya kazi nzuri. Upotovu wa fedha za uma, ni ujanja unaofanyika ndani ya wizara zote. Hao wajanja wanachuakua asilimia 80 na serikali inapata asilimia 20 kutoka system iliyopo sasa. Hata system ikiwa computerized, wajanja watazichokonoa tu. Solution yake ni kuwapeleka JANGWANI wawe mfano kwa wengine.