Advertisements

Friday, November 20, 2015

Kero Kuu Ambazo Serikali Itashughulikia Haraka










1 comment:

Anonymous said...

Kasi ya ajabu yani huyu jamaa anajua sana hadi aibu wala hajali kama kikwete yupo pale anamtizama na kumsikiliza kwani kuna mambo nna hakika yanamgusa muheshimiwa kikwete moja kwa moja na serikali yake iliopita. Kwa kweli nilijua magufuli ni mtu ambae yupo serious lakini si wa kiwango hiki nikimuona akiongea, kwa kweli anatisha. Yaani watanzania wamepata bonge la kiongozi mungu awaekee. Amin