ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 5, 2015

MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO WA TANZANIA LEO JIJINI DAR


 Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akiwaaga wananchi waliofika katika sherehe za kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano Dk. John Pombe Magufuli zilizofanyika leo kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)
 Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride rasmi kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Dk. John Magufuli.
 Bendera ya Rais ikishushwa.
 nbsp;Viongozi wa dini.
 Rais Dk. John Magufuli akila kiapo mbele ya jaji Mkuu wa Tanzania Othman Chande.

 Rais Dk. Magufuli akila kiapo
 Rais Dk. John Magufuli akila kiapo.
 Rais Dk. John Magufulia akisaini kiapo.
 Jaji Mkuu wa Tanzania, Othma Chande akisaini kiapo.
 Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande akimkabidhi Rais Dk. John Magufuli katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


 Rais Dk. John Magufuli akipeana mkono na Jaji Mkuu wa Tanzania, Chande Othman.
 Rais Dk. John Magufuli akiwa ameshika silaha za jadi ngano na mkuki.
 Rais Dk. John Magufuli akikumbatiana na Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.
 Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akila kiapo.  
 Mufti wa Tanzania akiomba dua.
 Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiomba dua.
 Rais Dk. Magufuli akisalimiana na askofu wa KKKT, Dk. Alex Malasusa.
 Rais Dk. John Magufuli akipigiwa mizinga 21.
 Rais Dk. John Maguli akikagua gwaride la heshima.
 Rais mstaafu Jakaya Kikwete akiteta jambo na  Rais Dk. John Magufuli.
 Wageni mbalimbali.
 Wageni waalikwa.
 Wageni mbalimbali.





 Ndege za Jeshi la Wananchi zitoa heshima kwa Rais Dk. John Magufuli.
 Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais Dk. John magufuli.
 Rais Yoweli Museveni wa Uganda akisalimia.
 Rais Paul Kagame akisalimia.
 Rais Joseph Kabila wa DRC.
 Rais Jocob Zuma wa Afrika Kusini.
















Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange.













































































































































7 comments:

Anonymous said...

1. Jenerali Davis Mwamunyange> Present Sir
2. Rais Paul Kagame> Present Sir
3. Rais mstaafu Benjamin Mkapa> Present Sir
4. Mrs. Janeth Magufuli> Present Sir
5.

listi ni ndefu ila wabongo tupunguze uzushi khaaaaa

Anonymous said...

Nafikiri Akili yako haiku sawa unahitaji wataalamu wa kutatua matatizo. pole.

Anonymous said...

What a waste of resources, do we really need a public holiday plus mbewmbwe hizo zote. The amount of monies spent could have been used to buy medicines to last 2 years in Tanzania.

Hatutaendelea kama mambo ndiyo yalivyo.

Anonymous said...

Anony. wa 11:51 AM, honestly ugonjwa wako hauna tiba, risasi kichwani mwako itasaidia.

Anonymous said...

Ukawa/chadema ni uzushi huo huo wanaoendelea nao kuwaaminisha watanzania kuwa wameibiwa kura lakini hao watu wamezoea kuzusha vitu vya uongo na kulazimisha watu waviamini kuwa ni vya kweli kwa kweli usiamini chochote kinacho zungumzwa au kuandikwa na mtu au taasisi yoyoye inayohusiana na ukawa au chadema ni watu waongo kiama.

Anonymous said...

Ebwana we! sherehe zilfana sana hadi aibu khaa! Tanzania ni mahodari sana wa mipangillio ya sherehe za kiserikali mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Anonymous said...

wewe anonymous wa 10:37am ulitaka magufuli akaapishiwe kijiji kwenu!!! ukawa utawajua tu, kula ndimu yangu. sherehe ya kuwaapishwa rais yoyote duniani lazima iwe na hadhi yake. dawa waambie kina lowasa watoe mabilioni ya Richmond kununulia dawa za hospital. get over, uchaguzi umeisha na maisha yanaendelea.au mwambie mbowe akupe mgao aliopewa na lowasa kama anawajali wanyonge