ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 6, 2015

Magufuli afanya ziara ya kushtukiza wizara ya fedha

3 comments:

Anonymous said...

Kwa kweli kazi ipo ila huyu mtu anahitaji ulinzi wa kutosha kabisa katika mazingira yake yote. Kuanzia chakula chake, maji anayo kunywa, usafiri anaotumia, watu anaokutana nao, watanzania ni watu wanaopenda maisha ya ujanja ujanja katika kazi zao halikadhalika katika kujipatia vipato vyao akitokezea kiongozi anaetaka kurekebisha tabia hiyo mbovu watafanya juu chini kumuhujumu hata kumpotezea maisha yake kwa hivyo tunaomba chonde chonde mueshimiwa magufuli apatiwe ulinzi wa kutosha kabisa. Mzee karume raisi wa kwanza baada ya mapinduzi matukufu ya alikuwa mchapa kazi,hakutaka masihara hata kidogo katika kazi, aliwapeleka wanzanzibar mchaka mchaka wa kweli katika kuhakikisha Zanzibar inapiga hatua na kweli Zanzibar chini ya utawala wa mueshimiwa Abeid Karume Zanzibar ilikuwa inakuja kuliko hata ulaya. Lakini kwa bahati mbaya mafisadi walivyoona hawana nafasi ya kuzembea wakamfanyia njama wakamuuwa . Zanzibar mpaka leo kama imelaanika hakuna chamaana kinachofanyika. Hata hayati Moringe Sokoine tunaimani kama angelikuwa na ulinzi wa kutosha pengine kungelikuwa na uwezo wa kuiepusha ajali. Mifano ipo mingi ya viongozi ambao hutokezea kufanya kazi kwa maslahi ya wanyonge matokeo yake wakadhuriwa na wabaya wachache wanaotaka kuundeleza tabia zao mbovu. Abraham Lincoln wa Marekani katika jitihada zake za kuondosha utumwa kwa wamerekani waliokuwa na matabaka ya chini hasa watu weusi, wasiopenda haki wakamua. John F Kennedy na kaka yake Robert Kennedy na wao walipotezewa maisha yao na wasio penda haki ni baada yaakina Kennedy kutaka kuhakikisha watu weusi na wao wanapata haki zao. Kwa hivyo hiyo ni mifano michache yakuonyesha yakwamba Magufuli katika kutaka kutekeleza majukumu yake ipasavyo kuna watu wengi hawatakubaliana nae na watakuwa tayari hata kumdhuru kwa hivyo tunaomba tinga tinga apatiwe ulinzi wa kutosha kabisa yeye na familia yake.
Ahsanteni, mungu ibariki Tanzania.

Anonymous said...

Nguvu ya soda hii
Wafanyakazi wana shida ya maisha lazima waishi double life
Magufuli lazima ujuwe kipato hakiendani na halisi ya maisha

Anonymous said...

Ni kweli, mdau!