ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 14, 2015

REHEARSAL DINNER YA EDGAR NA PORSHA MEMPHIS, TENNESSEE

 Porsha (mwenye gauni jekundu koti jeusi) bi harusi mtarajiwa yeye na wazazi wake wakiwa kwenye rehearsal dinner siku ya Ijumaa Novemba 13, 2015 Memphis, Tennessee na kuhudhuria na ndugu, jamaana marafiki. Porsha Chills anaoana na Edgar Kisoka siku ya jumamosi Novemba 14, 2015 jijini Memphis.
 Edgar(koti jeusi anayekunywa maji) bwana harusi mtarajiwa wakiwa kwenye rehearsal dinner siku ya Ijumaa Novemba 13, 2015 Memphis, Tennessee na kuhudhuria na ndugu, jamaana marafiki. Porsha Chills anaoana na Edgar Kisoka siku ya jumamosi Novemba 14, 2015 jijini Memphis.

Ndugu wa Bi harusi mtarajiwa wakiwa kwenye rehearsal dinner.

Porsha Kushoto na Edgar kulia maharusi watarajiwa 

 Marafiki wa maharusi watarajiwa wakiendelea na chakula cha jioni siku kabla ya harusi ya Porsha na Edgar.
 Chakula kikiendelea.
 Watatu toka kushoto ni Fredy toka ATL akihudhuria rihearsal dinner na washirika wake.
 Familia ya Porsha.
 Ndugu wa Bi. harusi mtarajiwa.
Familia ya Bi.harusi mtarajiwa.

No comments: