ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 4, 2015

WANANCHI WA KIGAMBONI WAPATA ADHA YA USAFIRI LEO ASUBUHI BAADA YA MV KIGAMBONI KUPAPATA HITILAFU

 Wananchi wakipigana vikumbo wakati walipokuwa wakishuka katika MV. Kigamboni na huku wengine wakiingia kwa kuhofia kubaki kutokana na wingi wa watu.
 Wakishuka wananchi
  Wananchi waliokuwa wakisubiri kuingia katika MV. Kigamboni huku wakiwa na Baiskeli zao ambapo kwa wenye Magari wameambiwa wapite Darajani au mwenyekuweza apaki avuke.
  Wananchi wakiwa katika mshangao
 MV. Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni
  MV. Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni
  MV. Kigamboni ikiwa inshusha upande wa Kigamboni
Taswira katika muonekano wa  MV. Magogoni  na MV. Kigamboni

4 comments:

Anonymous said...

Hapa waTanzania lazima tujifunze kutafakari ahadi za viongozi wetu. Ni kwa nini tutegemee usafiri wa aina moja au mmoja tu bila kuwako na wingi wa usafiri!! kwa hali hii ikitokea ajali unatarajia kilio kikubwa vipi nchini yasitufifke yale ya Mv Bukoba!! Baod tunasubiria barabara za juu zilizokuwa zianze mwezi huu wa Novemba!!

Anonymous said...

Kama unafuatilia kwa makini zaidi utakuwa umesoma kuwa lile daraja la barabara itayounganisha Kigamboni na sehemu zingine za Dar es Salaam kupitia Kurasini miezi miwili iliyopita lili ripotiwa kuwa lilikuwa asili mia 90 tayari kuanza kutumika. Barabara na daraja hili ni moja kati njia za usafiri ikiwa pamoja na mabarabara ya juu yaliko kwenye mpango wa ujenzi katika kipindi kifupi kijacho.

Salim said...

Watz hatujifunzi kutokana na makosa.dhen cc ni wepec kusahau.Wacha tuisome namba tumeipenda wenyewe

Anonymous said...

Hapa kazi tu pigeni mbizi