Sunday, December 27, 2015

Alikiba kwenye stage alivyouaga mwaka 2015

3 comments:

Anonymous said...

sio siri kiba boy unasauti ya muibaji,you are truly a singer kwa wanaojua musiki.lakni kwa wababaishaji wafanya biashara ya musiki ndo unawaona wako juu.

big up man sauti yako zaidi ya almasi na dhahabu.

big up big up man.

new York hiii.karibu sana

Jay said...

Tuachane na ujinga wa kusifia kitu hata kama ni cha kawaida. This Kiba boy anaganga njaa tu, sauti si ya kutisha ni ya kawaida sana sema tu anabebwa. In short, I find him overrated. Hes simply a one hit wonder but yupo yupo tu anatafuta a kick. He should find somebody to compose for him, hana nyimbo nzuri.

Anonymous said...

Mdau, hapo juu Umemaliza ...Leo nakubaliana na maneno ya Masoud Masoud alishawahi kusema kwamba kiba ni muimbaji.
Safi sana Ali, kuimba live sio mchezo.
Karibu sana The Netherlands ....salute bro