Saturday, December 5, 2015

[Audio] Kauli ya Januari Makamba kuhusu kumkejeli Rais Magufuli


January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada ya kumnyima Uwaziri Mkuu.

Hizi ndo Picha alizoweka ambazo zinadaiwa kumkejeli Rais Magufuli
Picha hii inaonyesha sokwe mtu wakiwa wamevalia suti na huyo mtu anayeonekana kurukia kamba huku nyuma ana mkia lakin akiwa amevalia kaptula peke yakePicha hii inaonyesha Nguruwe wakiwa wamepewa heshima ya zulia jekundu ambayo ni heshima ya kipekee anayopewa binadam pekee
Picha hii inamuonyesha mtu akiwa amewasha moto kwa kutumia kuni ambazo chanzo chake ni ngazi anayotakiwa kutumia kutokea nje ( juu ) 

Msikilize January Makamba akiongea hapo chini

6 comments:

Anonymous said...

Mambo ya entitlement hayo. Watu wengine wanafikiria kuwa nobody deserves to be a leader except wao tuu because their parents were party leaders. Mawazo finyu hayo. Ni vyema kukubali ilivyo sasa, Magufuli, Suluhu, Majaliwa. Try next time if there is a next time!

Anonymous said...

Kwa namna ambayo Magufuli ana tighten vices, ninaiona Tanzania ambayo ubunge, uwaziri utakuwa ni wito na si nafasi za maslahi tena.

Anonymous said...

Huyu jamaa baada ya zile picha kuingia mitandooni, kutokana na image za zile picha angezipinga na kuzilaani zile picha na ujumbe wake katika masaa 24, kukaa kimya kunaashiria ama kuna mkono wako, au ni ukosefu wa busara na hekimu katika kupambanua mambo. umesubiri siku zote hizo na kuona msimamo wa waTZ leo unakuja sema kuna mtu aliziweka na siyo wewe, unataka kufanya watu wajinga.Mtihani ni huu nataka kuliona baraza la JPM ndiyo nitazitafsiri zile picha.

Anonymous said...

Mr Makamba uncle Kikwete is no longer prez. Raisi kashasema hii ni serikali ya John Pombe Magufuli. Jazba za kuita watu mapumbavu just shows how shallow minded you are. Intelligent minds make arguments weak ignorant insecure minds resort to insults. Calling people stupid doesnt make you smarter.

Anonymous said...

Mchawi mkubwa huyu ashindwe kwa jins la yesu

Anonymous said...

Mdini wewe, uchawi umeujuaje kama wewe siyo mchawi? You sound like mchaga.