ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 13, 2015

BABY SHOWER YA LUCY MAMA KIJACHO WA GODFREY YA FANA NDANI YA MINNESOTA TWIN CITY.



Mama Kijacho Lucy akiongea kwa kutanguliza shukrani mbele ya watu waliojitokeza kwenye Baby shower yake aliyoandaliwa na mama mkwe na marafiki zako. Baby Shower hiyo iliyofanyika St. Paul Minnesota.

Godfrey akimsaidia mama kijacho wake kukaa kwenye kiti chake cha kujidai.


Mama kijacho akisaidiwa kukata keki na mume wake Godfrey.
Kwa picha zaidi ya sherehe mzima na matukio yote jitiririshe kwa kuingia soma zaidi



Godfrey akimlisha kike mama kijacho wake.


Mama mkwe wa Mama kijacho akiongea ukumbini hapo pembeni yake ni wifi yake dada wa mume wake kutoka Tanzania.


Baba mkwe wa mama kijacho  Prof, Shanalingigwa akiongea ukumbini hapo.
Hapa ni Mshereheshaji wa cherehe hiyo  akiongea jambo ukumbuni hapo.
Dj akiachia tamasamu mbele ya ukodak wa vijimamboblog. Dj Ndaga alikuwa anatumia mitambo ya kisasa kabisa yenye nguvu ya Bluetooth.

Hapa ni bingwa wa kumix pombe John, John anauwezo wa kujua jina la pombe hata akiwa amefumba macho na akakumixsia kinywaji na ukakipenda.

Mama Kijacho akipata ukodak na wifi yake Jacky.

Wadau na wapenzi wa Vijimamboblog wakiachia tamasamu mbele ya ukodak wa vijimamboblog.
Mama Kijacho akiwa na mawifi zake full kudeka. 

No comments: