ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 16, 2015

CHADEMA Yaikubali Serikali Ya Awamu Ya 5

2 comments:

Anonymous said...

sijawahi kuona kiongozi mwenye upeo mdogo kama huyu mwenyekiti wa chadema. anaongea bila kufanya utafiti anachokisema. wala ilani ya chama ya mapinduzi haijui ambayo magufuli alisema anaisimamia na yote anayofanya ndio mheshimiwa magufuli alikuwa anakampeni. sasa nini ambacho huyu mwenyekiti wa chadema na upeo wake wa pua anashangaa. muhongo hakuhusika na kamati ya bunge ilimsafisha. kuhusu mwakyembe ripoti yake na samweli sita walimpa rais mstaafu taarifa kuhusu bandari na rais akaikalia sasa unachomlalamikia mwakyembe ni kitu gani. wewe mbowe acha siasa huu ni wakati wa kujenga nchi na rudi jimboni kwako kashughulikie maendeleo ya jimbo acha kutafuta kiki, wakati wa kiki hakuna watanzania sasa wameshajua ukweli ni upi na upinzani sio wapinzani ila wapiga dili. sisi tunajenga nchi wewe na lowasa aanzeni kuzunguka na fedha za mafisadi kushukuru wananchi mliowalaghai.

Anonymous said...

Hivi ni lini Chadema ilimtambua Magufuli kuwa raisi halali mpaka kujinadi kuwa anatekeleza hoja zao?