Saturday, December 26, 2015

CHRISTMAS PARTY KWA WATOTO DMV

Watoto wakifurahia party ya Christmas iliyoandaliwa na Eddah Elegant Catering iliyokua kifamilia zaidi wazazi walipohudhuria na watoto wao kwa chakula cha jioni na michezo mbalimbali ya watoto iliyowafanya watoto wote kuwa na furaha muda wote wa shughuli hiyo iliyofanyika siku ya Ijumaa Desemba 25, 2015 Beltsvile, Maryland.
Watoto wakipata picha ya pamoja.

No comments: