Thursday, December 10, 2015

DUH,LOWASSA BADO HACHOKI KUUTAMANI URAIS,ONA HAPA ALICHOKISEMA


ALIYEKUWA Mgombea wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu ulioisha hivi karibuni na kushindwa vibaya na Mgombea wa CCM Dr Magufuli ,Edward Lowassa amesema kuwa bado ana ndoto za kuwa Rais wa Tanzania.
Lowassa amesema hayo jana wakati alipokuwa katika kampeni za chama hicho Arusha Mjini ambapo aliwaambia watu kuwa anataka kugombea tena mwaka 2020 kama atakuwa na nguvu na afya njema

6 comments:

Anicetus said...


Life and politics are personal things like a CAMERA: you focus on what is important, capture the good time events, and develop the events from the NEGATIVES. If things don't work as expected, take another SHOT: Mr.Lowassa has an opportunity for another shot 2020, so do Dr. Magufuli 2020-2025. Good luck!!

Anonymous said...

Kama Chadema wana mapenzi ya kweli na wewe kwanini wasikupe nafasi ya uenyekiti au ukatibu ili uache kuwa mpiga debe bila tittle. .

Anonymous said...

Nilidhani anafanyiwa check-up katika psychiatric hospitals kule India? pole mzee kwa fantasy zako, naomba usahau Urais 2020 maana, JPM kishawazima Ukawa na Wananchi tumefarijika.

Anonymous said...

Lowassa is mentally ill.

Anonymous said...

This is truly a psychiatric case. but again how do u stop one from dreaming?

Anonymous said...

Akachunge ngombe zake huko monduri si alisema akishidwa ataenda kuchunga ngombe zake.Amesha na mashindano ya uongozi bora huyu, iliyobaki asahau tu. Au kumsahaulisha kabisa