Halima Buzohela akiwa mwenye furaha baada ya kukamata nondo ya Master of Public Administration katika Chuo Kikuu cha Mzumbe, mkoni Morogoro siku ya Ijumaa Desemba 18, 2015.
Halima Buzohela akiwa katika picha ya pamoja na mama yake Mrs Buzohela.
Halima Buzohela akijipendelea na ukodak moment.
Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe ikiendelea.









2 comments:
Hongera sana Halima na wenzio..
hongera muhibu
Post a Comment