ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 22, 2015

HALIMA BUZOHELA AKAMATA NONDO YA MASTER OF PUBLIC ADMINISTRATION CHUO KIKUU MZUMBE

Halima Buzohela akiwa mwenye furaha baada ya kukamata nondo ya Master of Public Administration katika Chuo Kikuu cha Mzumbe, mkoni Morogoro siku ya Ijumaa Desemba 18, 2015.
Halima Buzohela akiwa katika picha ya pamoja na mama yake  Mrs Buzohela.
Halima Buzohela akijipendelea na ukodak moment.
Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe ikiendelea.




2 comments:

Anonymous said...

Hongera sana Halima na wenzio..

Anonymous said...

hongera muhibu