Advertisements

Tuesday, December 1, 2015

HUDUMA YA X-RAY AMANA YAPUNGUA TOKA ELFU 15 HADI ELFU 3

Mtaalam wa huduma za X-ray toka hospital ya Amana iliyopo jijini Dar es salaam Bwana Elvis Charles, amesema gharama za kupiga X-ray hospitalini hapo imepungua toka elfu 15 na sasa ni elfu tatu tu.

2 comments:

Anonymous said...

Hiyo ndio Tanzania. kwani ilipokuwa inachaji elfu 15 zilikuwa za nini na ziinaenda wapi?? swali kubwa sasa hivi ni elfu 3 nini kilichosababisha hilo
? wote wanaohusika wanatakiwa wachunguzwe zilikuwa zinaenda wapi haraka iwezekanavyoo. huu ni ulaji kwa wanyonge!! yaani mnyonge mnyongeni!!

Anonymous said...

Swali la kizushi;
Raisi Kikwete mpaka sasa anaongoza kuwa ndie raisi alietembelea Muhimbili zaidi kuliko yeyote,hii ni kutokana na ukarimu wake na hulka kupenda kuwajulia hali wagonjwa.
Ninachojiuliza alikuwa anapitishwa wapi bila kuona hali ya shida iliyokuwa inawakabili wagonjwa? Ikiwa ni pamoja na kulala chini.