![]() |
Mambo mengi saana yameandikwa ndani ya CV hii ya Dr kama kweli alisomea haya yote alikuwa na muda kweli wa kukaa Ofisini na kufanya kazi yake ya kutekeleza majukumu ya nchi?. Au ndo maana wajanja walipata nafasi ya kujikusanyia mapesa kwa njia ya ujanja kwa kujua bosi wa kitengo hicho yupo bize?. Na unafikiri watu kama hawa wapo wengi Tanzania kuwa na sifa nyingi kwenye CV zao wakati labda siyo kweli ni ujanja ujanja tu wakujipatia kazi ya sehemu nyeti na kuisababishia serikali mzigo wa wezi?.
Kwa mtazamo wangu mtu kama huyu alikuwa na maamuzi binafsi kwa sifa ya hii CV. Jitiririshe na wewe niambie mtazamo wako.
NAME: Dr. EDWARD GAMAYA HOSEAH
DATE OF BIRTH: JULY 8th, 1958
MARRITAL: MARRIED
EMPLOYER:PREVENTION AND COMBATING OF CORRUPTION BUREAU, Kalenga/Urambo Rd, P.O Box 4865 Dar Es salaam, TANZANIA PRIVATE ADDRESS: P.O BOX 12745, DAR ES SALAAM
TELEPHONE: +255764 888000
FAX: 255 22 2150047
EDUCATION:
PhD (LAW), UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM, TANZANIA (2007)
LL.M, QUEEN’S UNIVERSITY, KINGSTON, ONTARIO, CANADA (1989)
LL.B (Hons.) UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (1985)
Certificate on Economics of Corruption, University of Passau, Germany (2007)
Certificate on Governance, Ethics and Anti-Corruption Reforms,
UNIVERSITY OF BIRMINGHAM, UK (2003)
Certificate on Core Course on Controlling Corruption: Towards an Integrated Strategy, WORLD BANK INSTITUTE, WASHINGTON, DC (1998)
Diploma on Conflict Resolution, TANZANIA CENTRE FOR FOREIGN RELATIONS (1997)
WORK EXPERIENCE:
Director General, (26/11/2006 – To date)
Ag. Director General (6/11/2006 – 26/11/2006)
Director of Investigations, (22/7/1995 – 6/11/2006)
Advocate of the High Court and Courts Subordinate (1998 – To date)
Member, East Africa Law Society (1998 – To date)
Chairperson, Deceased Advocates Trust Fund (1998 – 2001)
Chairperson, Tanzania Conflict Resolution Centre, (1997 – To date)
Part time Lecturer in Law, Centre For Foreign Relations, (1995 – 2006), University of Dar es Salaam, Faculty of law (2004 – 2006)
District Registrar of High Court (1994 – 1995)
Senior Resident Magistrate (1990 – 1995)
Chief of Training, Research and Statistics Officer, Judiciary (1987 – 1990)
Legal Secretary to Chief Justice (1990 – 1994)
Resident Magistrate (1986 – 1995)
Board Member, International Society For the Reform of Criminal Law (1996 – To date)
Chairperson, Training Committee, Southern Africa Forum Against Corruption (1998 – 2006)
Member, UN Group of Experts on developing an Anti- corruption legislation Model (Buenos Aires, Argentina, 1997)
Board Member, Transparency International, Tanzania Chapter (1997 – 2006)
Visiting Scholar, Northwestern University, Law School, Chicago, Illinois (2004 and 2006)
Consultant, Government of Zambia (ACC) on governance and corruption (2005/06)
Member, UN Group of Experts on preparing a Technical Guide for the Implementation of UNCAC, Vienna, Austria, 2006
Consultant, UN Economic Commission for Africa (ECA) on Deepening the Effectiveness of Judiciary in Africa (2006/2007)
President, East African Association for Anti-Corruption Authorities, EAACA (2008-2010)
Associate Member of Rutgers Institute on Corruption Studies(RICS), Centre for Law and Justice, Newark, NJ (2009 – To date)
Board Member, Advisory Board of UNDP Global Programme on Anti-Corruption
For Development Effectiveness (PACDE) 2008 – 2011
Chairman, SADC Anti-Corruption Authorities, SAFAC (2010/11)
Board Member, African Union Advisory Board on Corruption (2011/12)
Visiting Scholar, Duke Law School, North Carolina (2011)
Head of Delegation, Conference of States Parties, UNCAC (2010-20110
PUBLICATIONS:
1.Corruption in Tanzania: The Case for Circumstantial Evidence, Cambria Press, New York, 2008
2.Grappling with the Epitome of Corruption in Tanzania: The Case for Circumstantial Evidence, PhD (law) University of Dar es Salaam, Tanzania (2007)
3.A Study of the Judiciary and Rule of law in Tanzania with Particular Reference to Bail, (1989), LL.M, Queen’s University, Kingston, Ontario, Canada
4.Corruption: The Fertile Ground for Conflicts in Tanzania, APPRAISING CONFLICTS IN TANZANIA: Education, Corruption and Crime, Tanzania Centre for Conflict Resolution, AMREF, Dar Es Salaam, 1998
5.Essays on Combating Corruption in Tanzania and the Basic Legal Principles, 1999, EcoPrint, Dar es Salaam
6.Editor, PCB Prosecutors’ Manual, Prevention of Corruption Bureau, Dar es Salaam, 2002
7.Editor, PCB Manual 1998/99, Prevention of Corruption Bureau, Dar es Salaam, 1999
8.The Accused’s Right to Silence with Specific Reference to Tanzania, New Trends in Criminal Investigation and Evidence, J.F Nijboer & J.M Reijntjes (Eds), Intersentia, Antwerpen, 2000
9.The IMF Units of Accounts, It’s lending Conditions and Their Effects on Developing Countries, (1984), LL.B, University of Dar Es Salaam
10.The Role of the Third Branch of Government towards the Realization of Human Rights in Africa: An Overview, African Society of International and Comparative law Journal, (1991), London
11.The Re-Examination of the Concept: A Trial within Reasonable Time, Journal of Management, Mzumbe, April 1994, Morogoro, Tanzania
12.The Public Leadership Code of Ethics Act: A Critical View, The National Integrity System in Tanzania, 1997, ODA/IBRD/World Bank, Washington, Arusha ii, pp.65-69
13.The Role of Media and Civil Society and Combating Corruption in Tanzania, Journal of Management Development, Vol.9, Issue no. 2, August 1997, IDM, Morogoro, Tanzania
14.The Prevention of Corruption Bureau and Electoral Corruption in Tanzania, Chapter 2 in MULTIPARTY ELECTIONS AND CORRUPTION IN TANZANIA, Edited by Samwel E. Chambua, et al, Dar Es salaam University Press Ltd, 2002
15.The Freedom of Conscience and Religion: Some Reflections, the Tanzania Lawyer, June – October 2002 Issue, Tanganyika Law Society Journal, Central Printing Works, Dar es Salaam.
16.Implementing the SADC Protocol against Corruption: Recommendations and Draft Rules of Procedure for the SADC Ant-Corruption Committee, Human Rights Trust of Southern Africa, Harare, Zimbabwe, 2005
17.Editor, EAACA Manual on Prevention and Investigations, DUP, Dar es Salaam, 2009
18.Co-Authored with Suleiman Ngware, Corruption and Struggle for Development in Tanzania, Dar es Salaam University Press, 2010
AWARDS:
Queen’s University Award (1988)
Medal Award from The International Society for the Reform of Criminal law (2002), Charleston, South Carolina, USA

7 comments:
Mimi sishangai kabisa Dr. Hosea kuweza kufanya mambo haya. Viongozi wengi Tanzania wangekuwa na good time management wangeweza kushiriki, kuandika/ kuchapisha na kufanya mengi zaidi ya haya aliyofanya Ndugu Hosea.
The problem with us Tanzanians is that we are used to too low standard our everyday life so much so that when we come across something normal like what Hosea has been able to achieve we think it is extra ordinary and weird.
Hosea is very successful as an academician, YES NO DOUBT. As a practioner, he evidently failed big time to show he can be trusted. He has not earned people's trust.
Kwa kiasi fulani hao ndio wasomi wetu Tanzania misifa ya kwenye karatasi kwamba wamesomea kitu fulani lakini unapokuja wakati wa kuthibitisha au kutekeleza kwa vitendo kile kilichomo kwenye CV zao siku zote wanafeli. Hapa ndipo unapokuja ule usemi unaosema kusoma sio kuelimika. Kwa kiasi kikubwa nampongeza muheshimiwa Magufuli kwa kuushtukia uzaifu wa watendaji wabovu wa serikali wanaoshindwa kutekeleza wajibu wao ipasavyo licha ya hao watendaji kujinasibu kuwa wao ni wataalam waliobobea.
Hii yote inawezekana kabisa kama watu wakiachana na tabia ya kwenda kuning'iniza miguu bar na kuridhika na cheti kimoja. Kuna watu hata magazeti hawasomi baada ya kumaliza chuo au shule, leo wakiona mtu kafanya yote haya kama Dr. Hosea wanashangaa na kusema haiwezekani. Siku hizi kuna hata masomo online ambapo badala ya kukaa kijiweni mtu anaweza kuweka muda jioni au wikiendi kusoma online hata kufanikiwa kupata digrii, nk. Watanzania tuache kuridhika kwa vitu vidogo vidogo, tulenge matawi ya juu na tuachane na tabia ya kuunganisha unganisha kutafuta mafanikio ya haraka haraka ambayo mwisho wake mara nyingi si mzuri.
CV inatia kichefuchefu. Please do not line item everything!
Amesoma mpaka na economic corruption sijui na. Human right. Yaani ni kichefu chefu kitupu. Utendaji wa kazi na uwajibikaji wa hayo makaratasi au majarida yake aliyoyajaza ni ziro. Sasa mtu kama huyu. Praktise ya vitendo kazini ni ziro. Ila amejaza majarida ya theory ya darasani. Vitendo ziro.
Mimi hapo hiyo Elimu ya Corruption na human right. Mbona yeye mwenyewe tayari corruption na mvunjaji wa haki za binadam. Mhhh Lol hizi elimu nazo muda mwingine ni usanii tu. Hasa sisi Wafrica. Elimu wanazo wenzetu huko eanakojielewa, kajaza mikaratasi vitendo lol
Post a Comment