Advertisements

Wednesday, December 2, 2015

JITIRIRISHE NA PICHA ZA ZINGINE ZA THANKSGIVEN WEEKEND HOUSTON.TEXAS

Siku ya Ijumaa ya Tarehe 27/11 Jumuiya ya WaTanzania waishio katika Jiji la Houston , Texas ilifanya Party ya kukata na shoka ya Thanksgiving iliyohudhuriwa na wageni mbalimbali kutoka States zote za Marekani. Pata picha za tukio hilo kutoka kwa kamera ya (Mlongokihomablog)

Atlanta Connection in HTown
Drew Sanga 404
Mr.Ndejembi & Oscar Nindi, Kwa taswira zaidi nenda soma zaidi.
Htown sisters Shannie, Mwate & Azzie
DJ Issa na wageni
Young blood

No comments: