Advertisements

Wednesday, December 2, 2015

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA BANDARI MPYA YA MPIGADURI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi Mbarouk (wa pili kushoto) wakati alipotembelea Eneo la Ujenzi wa Bandari Mpya ya kisasa Mpigaduri Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa Kampuni ya CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD (CHEC) kutoka Nchini China,(kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akifuatana na Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi (kushoto) Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dkt.Juma Malik Akili (wa pili kulia)akifuatia Mhandisi Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi Mbarouk (katikati) wakati alipotembelea Eneo la Ujenzi wa Bandari Mpya ya kisasa Mpigaduri Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa Kampuni ya CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD (CHEC) kutoka Nchini China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiuliza jambo alipokuwa akipewa maelezo na Mhandisi Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi Mbarouk (kushoto) wakati alipotembelea Eneo la Ujenzi wa Bandari Mpya ya kisasa Mpigaduri Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa Kampuni ya CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD (CHEC) kutoka Nchini China.Picha na Ikul, Zanzibar.

2 comments:

Anonymous said...

IPO KAZI.YAANI KIMYA KAMA HALIJATOKEA JAMBO,KIMYA KAMA KESHA TANGAZWA RAIS WA ZANZIBAR 2015-2020.ANGALIA FURAHA TELE TELE ZA MAMIA YA WAPAMBE WAKE,WANACHEKA.MHESHIMIWA MAGUFULI ANATUAMBIA KWAMBA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKE YEYE NI MKWELI,YEYE SI MNAFIKI,HATOKUJA KUSUTWA KWA UNAFIKI HATA SIKU MOJA.SISI WANANCHI,RAIA WA TANZANIA KWA SASA TUNAIANGALIA ZANZIBAR,TUNAMWANGALIA MAGUFULI.TUNASEMA IT IS NOW LONG OVERDUE MR.PRESIDENT. WITH THE HELP OF OUR GOD, THE MIGHTLY,ACT NOW,BEHOLD YOUR PROWESS AS OUR ABSOLUTELY HEAD.PIGA,USIANGALIE USO.

Anonymous said...

Mkwamo wa uchaguzi wa Zanzibar under Zec uko chini ya serikali ya Zanzibar, si jambo la ki- muungano, Hivyo swali hilo anapaswa kuelekezewa raisi Shein ,Maalim Seif na balozi Idd.