Monday, December 28, 2015

JUKWAA LANGU....Kipindi cha mwisho cha mwaka. USIKOSE LEO

Kilimanjaro Studio......
Katika kipindi cha JUKWAA LANGU cha leo Jumatatu, Disemba 28 tutaangalia / kuurejea mwaka wa 2015 kwa Tanzania.
Na tungependa kusikia kutoka kwako....
*Uliona nini cha kushangaza (kwa wema ama ubaya) nchini?
*Nani alikuvutia katika siasa.
*Nani alikuwa game changer kwenye siasa za Tanzania.
*Nani unamuona kama mwanasiasa bora wa mwaka wa 2015 Tanzania?
*Na lolote la kuongeza katika siasa za Tanzania kuelekea 2016.
Usikose tafadhali kujiunga nasi kuanzia saa 11 kamili jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki (5:00pm ET)
Ni kupitia tovuti zetu
www.kwanzaproduction.com ama www.vijimamboradio.com
Kwa wenye TuneIn App, tafuta Vijimambo Radio ( http://tun.in/sfeLX)
Ama kwa njia ya simu kupitia 716 748 0086 

No comments: