Advertisements

Tuesday, December 1, 2015

Kipindi cha JUKWAA LANGU Nov 30 2015 (Full Show)


Kipindi hiki hukujia kila jumatatu kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki kuijadili Tanzania ya sasa na ile tuitakayo
Katika kipindi hiki tumejadili (mbali na mambo mengine) muelekeo wa serikali yatano ya Tanzania
Yanayofanyika yanaleta taswira gani kwa Tanzania? Na Je!
Yataendelea ama?

2 comments:

Anonymous said...

Mimi binafsi nimefurahi sana serikali ya awamu ya tano, imachokifanya, hasa kwa kuziba miaya ya ubadhilifu, rushwa na kuboresha ukusanyaji wa kodi, yote tisa kama atafanya juhudi za kutaifisha mali na hela ambazo zimeshaibiwa au kufujwa na baadhi ya viongozi na wafanyabiashara hasa wa juu, na ndio kutakuwa na plain level field, kwa watanzania wote

Anonymous said...

Safi sana kabisa kaka Luke na kijana mahiri wa bandio kwa kutitirishia kipindi faida kwa manufaa ya Taifa letu tukufu. Binafsi baada ya kusikiliza hii program na wachangiaji wa mada nimekuja kugundua ya kwamba watanzania tunaijali sana nchi yetu licha ya tofauti zetu za kisiasa. Kuna kipindi katika program za nyuma likuwa nimeingiwa sana hofu na baadhi ya wachangiaji hasa wale waliokuwa wameweka sapota zao kwa wapinzani kwamba walikuwa hawaitakii mema nchi yetu . Lakini baada ya kusikiliza wachangiaji wale wale wakitoa ushauri wa maana kabisa kuhakikisha muheshimiwa anafanikiwa katika vita yake alioinzisha ya maendeleo, kwa kweli nimefurahishwa sana na kuja kurealize nilikuwa na mawazo hasi juu ya mitazamo ya baadhi ya watu tuliokuwa tunapigana tukiwa na majeshi tofauti kumuangamiza adui mmoja. Ila tusisahau ya kwamba raisi wetu ndio kwanza kaingia madarakani kwa hivyo tumpe mashirikiono