VIJIMAMBO

ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 22, 2015

MBUNGE AFARIKI GHAFLA KWENYE KIKAO CHA BUNGE


MBUNGE AFARIKI GHAFLA KWENYE KIKAO CHA BUNGE

Mbunge mmoja nchini Kuwait aliyetajwa kwa jina la Nabil Al-Fadl ameanguka ghafla na kupoteza maisha wakati kikao cha bunge kikiendelea.
Al-Fadl mwenye umri wa miaka 56 alionekana kwenye vipande vya video vilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii vikionesha akianguka kutoka kwenye kiti chake na kuanza kupewa huduma ya kwanza na waziri wa afya wa nchi hiyo, Dk. Ali Al Obaid hadi pale madaktari walipowasili lakini walishindwa kuokoa maisha yake.

Mbunge huyo alikuwa mwandishi wa habari machachari ambaye mara kadhaa aliwakosoa vikali wabunge wenzake na hata kuwakashfu. Alikuwa na wafuasi wengi waliokuwa wanamsapoti kutokana na misimamo yake ya kuikosoa serikali.

Alifahamika zaidi kwa kuwapinga vikali waasi wa kiislamu na kuwakaripia mara kadhaa alipopewa nafasi ya kuchangia bungeni na hata anapoandika kwenye gazeti lake.
at 9:24:00 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

3 comments:

Anonymous said...

ona wenzetu...waziri wa afya ni medical doctor siyo bongo eti waziri wa ulinzi ni medical doctor ...na waziri wa afya sijui ni vipi hapo

December 22, 2015 at 9:55 PM
Anonymous said...

Siku nyingine andika kichwa cha habari hivi: mbunge afariki ghafla kwenye kikao cha bunge nchini Kuwait. Then andika story tunao ndugu kwenye bunge LA jamuhuri ya Tanzania hivyo mawazo yetu hayawezi kufikiria kama utatuandikia kufa kwa mbunge wa nchi nyingine.

December 22, 2015 at 10:52 PM
Anonymous said...

Bongoland, anything goes!!

I am still waiting for the Chikawe, Mukangara et al to hand over their offices. The President, PM, VP all have done it, but I haven't seen any Minister doing so. Uchungu was kukosa uwaziri?
karibuni tule dagaa tena.

December 22, 2015 at 11:18 PM

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

DJ Luke Joe

DJ Luke Joe

TANZANIA BLOGGERS' NETWORK

TANZANIA BLOGGERS' NETWORK

IskaJoJo Studios

IskaJoJo Studios

BEST MUSIC,BEST RATES

BEST MUSIC,BEST RATES
Music From The Past To The Present

RADIO YA UMOJA WA MATAIFA

RADIO YA UMOJA WA MATAIFA
TAARIFA YA HABARI & VYOMBO VYA HABARI

GENN RADIO

GENN RADIO
LISTEN LIVE

Clouds FM

Clouds FM
LISTEN LIVE

Radio Mbao

Radio Mbao
LISTEN LIVE

TONE ONLINE RADIO

TONE ONLINE RADIO
LISTEN LIVE

MJ RADIO

MJ RADIO
LISTERN ONLINE NOW

BONGO FLEVA

Tafuta

Kumbukumbu

Wadau

Tovuti na Blog Nyingine

  • 24 SEVEN 365
  • AL JAZEERA
  • BBC
  • BONGO CELEBRITY
  • BONGO STAR LINK
  • CHANGAMOTO YETU
  • CHEKA UPASUKE
  • CNN
  • DAILY NATION
  • DAILY NEWS
  • DINA MARIOS
  • DMK 411 BLOG
  • EBONY MAGAZINE
  • FACEBOOK
  • FIRST ROW SPORTS
  • FOX SOCCER
  • FULL SHANGWE
  • GENN MEDIA BLOG
  • GLOBAL PUBLISHERS
  • GSENGO BLOG
  • GUARDIAN UK
  • HABARI LEO
  • HAKI NGOWI
  • HIP HOP NEWS
  • IPP MEDIA
  • ISKAJOJO
  • JAMII BLOG
  • JIACHIE
  • K-VIS BLOG
  • KAHAWA TUNGU
  • KAMUSI
  • KITIME
  • KULIKONI
  • LADY JD
  • LILY MELODYY BLOG
  • LUNINGA
  • MAGANGA ONE
  • MAJIRA
  • MAMBOJAMBORADIO
  • MATUKIO
  • MAWASILIANO IKULU
  • MBEYA YETU
  • MICHUZI
  • MISS JESTINA GEORGE BLOG
  • MO BLOG
  • MOHAB MATUKIO
  • MTAA KWA MTAA BLOG
  • MWANANCHI
  • NAIROBI NEWS
  • NATION
  • NEW YORK TIMES
  • OTHMAN MAULID BLOG
  • PROFA
  • RAIA MWEMA
  • RED PEPPER
  • SAUTI TOKA NYIKANI
  • SHALUWA
  • SHAMIM
  • SPORT STAREHE
  • SPORTS SITE
  • STORM FM GEITA
  • SUBSONIC
  • SUFIANI MAFOTO
  • SUNDAY SHOMARI'S BLOG
  • SUPER SPORT
  • SWAHILI NA WASWAHILI
  • SWAHILI TV
  • SWAHILI VILLA
  • TAIFA JIPYA
  • TANZANIA BUSINESS DIRECTORY
  • TANZANIA DAIMA
  • TANZANIA GLAMOUR
  • TANZANIA HOTELS,WILDLIFE SAFARIS & CHEAP FLIGHTS
  • TAWICHITA
  • TEKNOHABARI
  • THA FUNK HOUSE
  • The Embassy of the United Republic of Tanzania in the United States
  • THE GLOBE AND MAIL
  • THE MONITOR
  • THE STANDARD
  • TMZ
  • TUNYFISH
  • TZMOMS
  • UHURU
  • UTNC
  • VOA-SWAHILI
  • WASHINGTON POST
  • WAVUTI
  • ZIMBIO

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

  • A Scottish church has become the first in the UK to share its premises with Muslim worshippers.
    A Scottish church has become the first in the UK to share its premises with Muslim worshippers. According to Daily Mail, St John’s Episco...
  • Kura ya maoni Kenya yafanyika kwa amani
    Milolongo ya wapiga kura Shughuli ya kupiga kura ya maoni kupinga au kuunga mkono katiba mpya inayopendekezwa nchini Kenya imemalizika. Shug...
  • more photos: Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi's visit to Tanzania
     The plane carrying  Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi   touches down at the Julius Nyerere International Airport (JNIA) in Dar es ...
  • SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI NEW YORK
     Jumuiya ya Watanzania wa New York (ikijumuisha New Jersey, Connecticut na Pennsylvania) itafanya sherehe ya kusherehekea miaka 50 ...
  • Diaspora marufuku kumiliki ardhi nchini Tanzania
    Tanzanians in the Diaspora continue to grapple with challenges that have seen most members either defrauded or lose confidence that th...
  • MAHAKAMA YASEMA USHAHIDI WA TIMU LIBE HAUJITOSHELEZI NA OMBI LA KUSITISHA UONGOZI DMV LAKATALIWA
    Mwenyekiti wa Uchaguzi Mzee Safari Ohumay afunguka asema yeye hakusema uchaguzi ni Void alichosema kujibu tuhuma za aliyekua mgombea wa...
  • CESILIA FRANCIS AFANYA MNUSO WA KUJIPONGEZA
    Cesilia Francis akiingia ukumbini siku ya Ijumaa May 6, 2016 Clinton, Maryland Cesilia Francis akipata ukodak na mumewe. Cesilia...
  • Open Letter to Tanzanian Women in the DMV Area
    Since I was a little girl my mother taught me that the word hate was a bad word and that I should never use it in regards to another human...
  • WE ARE RISING THIS FUND TO PAY OUR LAWYER FOR TANZANIANS IN DMV JUSTICE DUE TO THE ELECTION FRAUD
    Aliyekua mgombea wa Urais Ndg. Liberatus Mwang;ombe akipiga kura On August 14, 2014 Tanzanians in DMV had a community election, which...
  • AMERICA AND THE GUN CULTURE
    BY MOHAMED MATOPE Last Monday America suffered the deadliest mass shooting in modern American history. A gunman rained down thou...

LIVE TRAFFIC FEED

© 2015 Vijimambo - All Rights Reserved
Powered by Blogger.

HIT COUNTER BY GOOGLE