ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 20, 2015

MCHEZA SINEMA WA BONGO MOVI NA MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA HASHIM KAMBI ATEMBELEA STUDIO YA KILIMANJARO, BELTSVILLE, MARYLAND.


 Hashim Kambi (kulia) akiwa pamoja na Mtangazaji maarufu na aliyebobea nchini Marekani Mubelwa Bandio kwenye studio ya Kilimanjaro iliyopo Beltsville, Maryland nchini Marekani. Hashim Kambi alishawahi kuchezea Club ya Yanga miaka ya nyuma.
kutoka kushoto ni Mubelwa Bandio, Hashim Kambi na Dj Luke.
Chini ni kipande cha filamu kati ya nyingi alizocheza Hashim Kambi

No comments: