Familia ya Richard na Melisa inapenda kuwashukuru wale wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine katika kwenye misa ya kumbukumbu ya Bibi Catherine Sarmanis aliyeaga dunia tarehe 22 November nchini Tanzania. Misa hiyo ilifanyika jana tarehe 13 December kwenye kanisa la St. Edward's Rectory mjini Baltimore, MD.
Richard and Melisa
Father Honest Munishi akitoa mahubiri
Bwana Richard Mawenya akisoma wasifu wa marehemu
Wajukuu wa marehemu bibi Catherine wakiwa kwenye picha ya pamoja,Kutoka kushoto Natasha, Melisa na Catherine
Bwana Duncan Kuffar katibu wa Jumuhiya ya Catoliki DMV akitoa shukurani kwa ndugu jamaa na marafiki waliyo hudhuria misa hiyo
wakina mama wakiwa tayari kugawa chakula cha jioni baada ya misa ya marehemu bibi Catherine
Bi Faith Isingo na Bwana Leslie Kombe wakisoma neno wakati wa misa












No comments:
Post a Comment