Friday, December 25, 2015

MSIBA DMV NA TANZANIA

Heriet Tarazo anasikitika kutangaza kifo cha kaka yake Steven Tarazo kilichotokea leo asubuhi ilala Dar Tanzania .

Kama ilivyokawaida na desturi yetu kupeana pole ndio ustaarbu wetu, ukipata muda pitia nyumbani kwa mfiwa na umpe pole katika kipindi hiki cha kufiwa na mpendwa kaka yake. 

Msiba upo kwa Heriet 
11360 cherry hill rd# 202 
Beltsville MD 20705. 

Ruth mkami 3013678722.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na kwake tutarejea

No comments: