Advertisements

Saturday, December 12, 2015

New song

ARTIST: Traedona from USA SIGLE:Brooklyn 2 Grenada
 
Traedonya Chequelle, maarufu kama Traedonya American musician, recording artist, singer-songwriter ambaye pia ni model, amekuwa balozi wa kwanza kwenye APP mpya ya ‘Band & Me’ ambayo inawakutanisha mashabiki na wasanii kushare Idea mbalimbali na msanii ambaye unampendaTraedonya baada ya kukabidhiwa jukumu hilo la Ubalozi wa App hiyo ya ‘Band & Me’ ameamua kuachia na Track yake mpya Exclusively for Noise Trade, wimbo unaitwa ‘Brooklyn 2 Grenada’ ikiwa wimbo wake wa mwisho ulikuwa ni Siply Beautifuly UR.

No comments: