Nchi kwa sasa inakabiliwa na tatizo la kuzagaa kwa vyeti bandia, Hili nalo ni jipu kubwa sana ambalo ni pacha wake ufisadi na sembe!
Sasa kuna tetesi kuwa Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani.
Hii kwa wale ninaowapenda kama una ndugu ameingia Serikalini na vyeti feki mwezi Februari aombe likizo sombasomba inakuja isikuaibishe.

1 comment:
jipu hili kwa kiasi kikubwa lililelewa na kutiwa mbolea na serikali ya awamu ya nne, kwani ni serikali iliyoweka vihiyo wengi kuliko nyingine yoyote.Vihiyo walikuwepo kuanzia ngazi za uwaziri, ubalozi ,maofisa wa ngazi za juu serikalini na katika mashirika ya umma.
Cha aajabu pamoja na wananchi kupigia kelele jipu hili, serikali ya JK ilipuuzia.
Post a Comment