ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 19, 2015

Picha hizi, Zari All White party yafanyika Uganda, Ex wa Zari ahudhuria,Baba Tifa???


Ile party ya nguo nyeupe ya mwana mama Zari the boss lady imefanyika wiki hii nchini Uganda na mume wa Zari anaye fahamika kama Ivan alihudhuria.

Zari na Ivan wana watoto watatu na wanahisa kwenye biashara tofauti wanazosimamia hii inasababisha wawe na mawasiliano mara kwa mara.
Ivan EX wa Zari  ndani ya party hii na mshkaji wake King Lawrence kwenye ukumbi wa Guvnor ilipofanyika party hii.

Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari hakuwepo kwenye party hii ila yupo Uganda sababu ana show na Patoranking wiki hii. Unafikiri ubusu huo wa show au kapisha tu majembe haya mawili ya tambe kiroho safi.

No comments: