Advertisements

Tuesday, December 1, 2015

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MRADI WA UIMARISHAJI MRADI WA MAJI SAFI MAKUNDUCHI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya maji safi (ZAWA) Dkt. Mustafa Ali Garu (kulia) wakati alipotembelea Uimarishaji wa mradi wa maji safi na salama wa uchimbaji wa Kisima kipya na ukarabati wa tangi la maji Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Unguja leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya maji safi (ZAWA) Dkt.Mustafa Ali Garu (kulia) wakati alipotembelea Uimarishaji wa mradi wa Maji safi na salama wa uchimbaji wa Kisima kipya na ukarabati wa tangi la maji Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Unguja leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na baadhi ya wanachama cha Mapinduzi na Wananchi wa Makunduchi wakati  alipotembelea Mradi wa Uimarishaji wa  Maji safi na salama wa uchimbaji wa Kisima kipya na ukarabati wa tangi la maji Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Unguja.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban (wa pili kulia) wakati alipotembelea Mradi wa Uimarishaji wa  Maji safi na salama wa uchimbaji wa Kisima kipya na ukarabati wa tangi la maji Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Unguja leo (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman.

2 comments:

Anonymous said...

Rais wa Zanzibar ni yupi huyo jamani uchaguzi ushafanyika na mshindi kafungwa pingu ! Mshindwa anaendelea kitawala huu ni uongozi wa haki mbona wananchi wananyimwa haki yao ya kimsingi????

Anonymous said...

Aliyeshinda nani na aliyeshindwa nani na mshindi alitangazwa lini na tume ipi?
Wewe tulia kiherehere na mihemko ikiwaisha mtaelewa tu.