Mwenyekiti wa Shirika lisilo la kiserikali la GOZA na Meneja Mradi Mussa Khamis Baucha
, wakimkabidhi msaada Mwakilishi wa
Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar Mzee
Kombo Shein, vyakula kwa ajili ya wazee hao ili kuweza kujimuika na Wananchi
katika kusherehekea Sikukuu ya Krismax
na mwaka mpya kulia Msimamizi wa
Kijiji hicho Sister Mary Gemma na Hassan Khamis hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya wazee
hao welezo jana
Mwenyekiti wa Shirika lisilo la kiserikali la GOZA na Meneja Mradi Mussa Khamis Baucha
, wakimkabidhi msaada Mwakilishi wa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar Mzee
Kombo Shein, vyakula kwa ajili ya wazee hao ili kuweza kujimuika na Wananchi
katika kusherehekea Sikukuu ya Krismax
na mwaka mpya kulia Msimamizi wa
Kijiji hicho Sister Mary Gemma hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya wazee
hao welezo jana.
Mzee Shein akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhiwa Vyakula kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Krismax na Mwaka Mpya
Sister Mary Gemma akitowa shukrani kwa Shirika lisilo la kiserikali la GOZA kwa msaada wao kwa kuwajali Wazee hasa kwa wakati huu wa kusherehekea Sikukuu ya Krismax na Mwaka Mpya.
No comments:
Post a Comment