ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 20, 2015

TANESCO Wataja Deni la Wema Sepetu Kufuatia Kuiba Umeme!


Wema Sepetu

Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limemkaba koo staa maarufu wa Bongo Movies , Wema Sepetu baada ya kubainika kutumia nishati ya umeme kwa njia zisizo halali.
Hivi karibuni TANESCO walifanya ziara ya kushtukiza kwenye nyumba yake na kubaini kuwa muigizaji huyo anatumia umeme wao bure!

Jana Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Eng. Felichesmi Mramba alizungumza na waandishi wa habari na kutaja kiasi cha fedha kitakachopatikana kutokana na faini waliyowapiga wezi mbalimbali wa umeme.

Imebainika kuwa Wema Sepetu anadaiwa shilingi 8,200,496.20.

3 comments:

Anonymous said...

Kweli usanii upo. Ulikuwa unagombea ubunge ndio hivyo ulikuwa unataka kuwtumikia wananchi kwa usanii wa kutapeli na kukwepa kulipa matumizi ya umeme!! huo sio uongozi unaotakiwa usaniii huu!! WaTanzania tuangalie sana viongozi tunaowachagua fedha isituyumbishe. Party za nguvu kumbe mkwepaji!!

Anonymous said...

Wenye hotel million 1
Wema nyumbani kwake million 9
Magufuli u msomi wahesabu Na fisizikia biga mahesabu hapa

Anonymous said...

Hawa ndio ma - celebrity wetu.hata kulipia utility bills ni shida.