TANGAZO LA UPOTEVU WA BEGI JEKUNDU
Habari! Jioni jumatano ya tarehe 9/12/2015 nilitokea tanga kwa bus Kwa Bahati mbaya bus lilipata itlafu maeneo ya kitumbi (kati ya mto wami na segera).majira ya SAA 5 usiku tukiwa eneo hilo Tulipata usafiri mbadala Wa Costa iliyokuwa ikielekea morogoro, Mimi na wenzangu wengine tulipanda kwenye Costa hiyo iliyotuacha chalinze. Katika harakati za kuhamisha mizigo yetu kutoka kwenye bus kuja kwenye Costa palitokea upotevu Wa begi langu lilikuwa na lap top, diary ya NAOT na note book pamoja na file dogo lenye documents. Ninaomba ndugu mtanzania utakaekutana na hilo begi mungu akuguse na kuwasiliana nami kwa namba 0755459233. Beatrice Matunda.Nitatoa fedha kiasi cha sh. 600,000 kwa atakaeweza kulipata na kuwasilisha kompyuta hiyo yenye taarifa nyingi na muhimu.nakuomba unisaidie kuusambaza ujumbe huu na mungu atakubariki sana.
2 comments:
Ni vizuri tujijengee utamaduni wa kuwa na BACKUP za information zetu muhimu zilizoko kwenye Computer/Laptop/IPad ...etc. Nawasilisha tu!!!
Are u being helpful or just another sadist and mischievous TZ
Post a Comment