Sunday, December 27, 2015

UZINDUZI WA VAZI LA UFUKWENI LA KHANGA NA MITINDONITE

Mratibu wa Miss Tanzania USA Mama Winney Casey akiwa katika picha ya pamoja na Miss Tanzania USA Aeesha Kamara siku ya Jumamosi Desemba 19, 2015 ndani ya kiota cha Station one Silver Spring, Maryland.
Miss Tanzania USA Pageant akipita mbele ya mashabiki na vazi la kuogelea lililobuniwa na khanga ubunifu wake Mitindo fashion wakishirikiana na Miss Africa USA.
Miss Tanzania USA Aeesha Kamara akipita vazi la ufukweni lililobuniwa kwa khanga


No comments: