ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 16, 2015

WAKENYA WATAMANI RAIS MAGUFULI ANGEKUA RAIS WAO

2 comments:

Anonymous said...

HAMENI,HAMIENI TANZANIA MUTAWALIWE KWA STAILI ILIYOWAKUNA NA KIONGOZI WA MSAFARA WENU ATAKUA RAILA ODINGA.

Unknown said...

Sio wakenya tu wanaotamani kuwa na kiongozi makini kama maghufuli bali magufuli ndio habari ya mjini Africa nzima tumuombee mungu amuwezeshe zaidi kufanya kazi kwa ufanisi kwani kama magazeti mengi ya Africa yanavyosema kuwa Magufuli ni tumaini jipya kwa Africa kwa kuwa mfano kwa viongozi wengine wa Africa ya vipi kiongozi wa nchi anatakiwa kuwa mfano mzuri kwa watu anaowaongoza.