VIJIMAMBO

ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 15, 2015

WALIOUKATAA UWAZIRI WA MAGUFULI WAFUNGUKA SABABU



Baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa kuwa waliukataa uteuzi wa rais John Magufuli kuwa mawaziri katika serikali ya awamu ya tano wameeleza sababu za kuchukua uamuzi huo.
Mmoja kati ya wabunge hao ambaye hakutaka jina lake litajwe aliamua kuelezea. Aidai kuwa yeye ni mmoja kati ya wabunge ambao walipata nafasi ya kuteuliwa na rais lakini alihofia majukumu mazito na kasi ya rais Magufuli hivyo akaamua kujiweka kando.

“Niliarifiwa juu ya uteuzi lakini baada ya kupima nikaona hapana siwezi kazi ya uwaziri, bora nibaki na ubunge wangu,” Mbunge huyo alimwambia mwandishi wa gazeti la Mtanzania.

“Kasi ya Rais Dk. John Magufuli ni nzito na kwangu ni ngumu na nilifikiri niko mimi peke yangu kumbe baada ya taarifa hizi nasikia na wenzangu wawili nao walikataa uteuzi,”aliongeza.

Hadi sasa wizara nne za serikali ya awamu ya tano hazijapata mawaziri. Wizara hizo ni wizara Fedha, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Miundombino, Wizara ya Maliasili na Utalii na Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.
at 4:24:00 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

4 comments:

Anonymous said...

Serikali haina hela.Pesa zote zimetafunwa kwenye safari za JK na kampeni. Unafikiri nani anapenda kufanya kazi huku wizara hazina hela.

December 15, 2015 at 6:51 PM
Anonymous said...

Kama hili usemalo ni ukweli, basi wataje hao walioukataa uwaziri ili wananchi tuwajue, otherwise they should just SHUT-UP! They are SELFISH and UNPATRIOTIC. Sielewi kwa nini walichaguliwa kuwa Wabunge? Wanakataaje kulitumikia Taifa lao? Ni Wapumbavu hao wote, and I mean what I say.

December 16, 2015 at 4:10 AM
Anonymous said...

Hakuna aliyekataa. Waongo tu. Hata Mimi nilikataa; in my dreams!!!!

December 16, 2015 at 7:56 AM
Anonymous said...

mimi nimependezewa na maamuzi ya watu hao kukataa uwaziri. wala si kweli kwamba wamekosa uzalendo bali they are honest. kazi waliyoiomba na wakahisi wanaiweza ni ubunge. ila nawasikitikia wale wanaotaka na kuuukubali uwaziri kumbe hawana moyo wala uwezo wa kuutumikia. shame on them! ni vyema kupata mawaziri ambao kweli wana moyo na uwezo wa kuzifanya kazi za uwaziri na si kuwa mzigo tu na majina tu kwamba tuna mawaziri kumbe ni mabomu majipu na mizigo. hongera magufuli endelea na kasi hiyo hiyo yule ambaye haiwezi ni vyema aseme tu ili wanaoweza waendelee.

December 21, 2015 at 12:29 PM

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

DJ Luke Joe

DJ Luke Joe

TANZANIA BLOGGERS' NETWORK

TANZANIA BLOGGERS' NETWORK

IskaJoJo Studios

IskaJoJo Studios

BEST MUSIC,BEST RATES

BEST MUSIC,BEST RATES
Music From The Past To The Present

RADIO YA UMOJA WA MATAIFA

RADIO YA UMOJA WA MATAIFA
TAARIFA YA HABARI & VYOMBO VYA HABARI

GENN RADIO

GENN RADIO
LISTEN LIVE

Clouds FM

Clouds FM
LISTEN LIVE

Radio Mbao

Radio Mbao
LISTEN LIVE

TONE ONLINE RADIO

TONE ONLINE RADIO
LISTEN LIVE

MJ RADIO

MJ RADIO
LISTERN ONLINE NOW

BONGO FLEVA

Tafuta

Kumbukumbu

Wadau

Tovuti na Blog Nyingine

  • 24 SEVEN 365
  • AL JAZEERA
  • BBC
  • BONGO CELEBRITY
  • BONGO STAR LINK
  • CHANGAMOTO YETU
  • CHEKA UPASUKE
  • CNN
  • DAILY NATION
  • DAILY NEWS
  • DINA MARIOS
  • DMK 411 BLOG
  • EBONY MAGAZINE
  • FACEBOOK
  • FIRST ROW SPORTS
  • FOX SOCCER
  • FULL SHANGWE
  • GENN MEDIA BLOG
  • GLOBAL PUBLISHERS
  • GSENGO BLOG
  • GUARDIAN UK
  • HABARI LEO
  • HAKI NGOWI
  • HIP HOP NEWS
  • IPP MEDIA
  • ISKAJOJO
  • JAMII BLOG
  • JIACHIE
  • K-VIS BLOG
  • KAHAWA TUNGU
  • KAMUSI
  • KITIME
  • KULIKONI
  • LADY JD
  • LILY MELODYY BLOG
  • LUNINGA
  • MAGANGA ONE
  • MAJIRA
  • MAMBOJAMBORADIO
  • MATUKIO
  • MAWASILIANO IKULU
  • MBEYA YETU
  • MICHUZI
  • MISS JESTINA GEORGE BLOG
  • MO BLOG
  • MOHAB MATUKIO
  • MTAA KWA MTAA BLOG
  • MWANANCHI
  • NAIROBI NEWS
  • NATION
  • NEW YORK TIMES
  • OTHMAN MAULID BLOG
  • PROFA
  • RAIA MWEMA
  • RED PEPPER
  • SAUTI TOKA NYIKANI
  • SHALUWA
  • SHAMIM
  • SPORT STAREHE
  • SPORTS SITE
  • STORM FM GEITA
  • SUBSONIC
  • SUFIANI MAFOTO
  • SUNDAY SHOMARI'S BLOG
  • SUPER SPORT
  • SWAHILI NA WASWAHILI
  • SWAHILI TV
  • SWAHILI VILLA
  • TAIFA JIPYA
  • TANZANIA BUSINESS DIRECTORY
  • TANZANIA DAIMA
  • TANZANIA GLAMOUR
  • TANZANIA HOTELS,WILDLIFE SAFARIS & CHEAP FLIGHTS
  • TAWICHITA
  • TEKNOHABARI
  • THA FUNK HOUSE
  • The Embassy of the United Republic of Tanzania in the United States
  • THE GLOBE AND MAIL
  • THE MONITOR
  • THE STANDARD
  • TMZ
  • TUNYFISH
  • TZMOMS
  • UHURU
  • UTNC
  • VOA-SWAHILI
  • WASHINGTON POST
  • WAVUTI
  • ZIMBIO

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

  • Diaspora marufuku kumiliki ardhi nchini Tanzania
    Tanzanians in the Diaspora continue to grapple with challenges that have seen most members either defrauded or lose confidence that th...
  • UNITED STATES CONDEMNATION OF TANZANIA ELECTORAL PROCESS LACKS MORAL COMPASS.
    By Mohamed Matope Yesterday, the American Ambassador expressed great concern about the Tanzanian electoral process leading to the upcomi...
  • CESILIA FRANCIS AFANYA MNUSO WA KUJIPONGEZA
    Cesilia Francis akiingia ukumbini siku ya Ijumaa May 6, 2016 Clinton, Maryland Cesilia Francis akipata ukodak na mumewe. Cesilia...
  • AMERICA AND THE GUN CULTURE
    BY MOHAMED MATOPE Last Monday America suffered the deadliest mass shooting in modern American history. A gunman rained down thou...
  • KABILA GANI ZURI LA KUOA/KUOLEWA?
    NINAWASALIMU kwa jina la Bwana, hasa wakati huu mamilioni ya Wakristo kote duniani wakijiweka sawa kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kris...
  • MAPENZI NOMA DIAMOND ANASWA.AKIBEBESHWA POCHI NA ZARI
    Baada ya Diamond Platinumz a.k.a Chibu kunaswa na camera akiwa amembebea mkoba wa mpenzi wake Zarri Hussein, jiulize je wanaume wangapi t...
  • JK AMTAJA MUHUSIKA WA RICHMOND
    Rais Jakaya Kikwete amesema anashangazwa na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richm...
  • NJIA 60 ZA KUMFURAHISHA MUMEO.
    Katika mada yangu ya “njia 60 za kumfurahisha mkeo” niliahidi kuendelea na maudhui hii kwa kuwaletea mada ya “kumfurahisha mumeo”. Natanguli...
  • Charles Mihayo charged over death of two girls in Watsonia, Victoria
    Family photos of Indiana and Savana, who were killed at Watsonia. Charles Mihayo has been charged with two counts of murder. Pict...
  • ROSE MUHANDO: NAFIKIRIA KURUDI KWENYE UISLAM
    Muimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando. NYOTA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando amesema hakuna jambo jema alilo...

LIVE TRAFFIC FEED

© 2015 Vijimambo - All Rights Reserved
Powered by Blogger.

HIT COUNTER BY GOOGLE