Monday, December 28, 2015

WAZIRI MBARAWA ATINGA OFISINI LEO MARA BAADA YA KULA KIAPO

Katibu wa iliyokuwa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akimkaribisha Waziri mpya wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kwenye ofisi yake mpya wizarani hapo, alipowasili kwa mara ya kwanza mara baada ya kula kiapo ikulu, jijini Dar es Salaam leo.
Katibu wa iliyokuwa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akimkaribisha Waziri mpya wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, kuongea na Viongozi wa Wizara na watendaji wa Taasisi zilizo chini ya wizara hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akiongea na viongozi na watendaji wa Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo alipokuwa akijitambulisha kwao mara baada ya kuwasili wizarani hapo jijini Dar es Salaam.

No comments: