Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati alipomkaribisha kuzungumza katika kikao cha kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2 comments:
BARAZA LA KAZI LA MAWAZIRI.NIMESHINDWA KUELEWA MAANA YAKE NI NINI.UNAJUA HIZI JARGONS NYINGINE ZINATUCHANGANYA BILA SABABU.BARAZA LA MAWAZIRI,INATOSHA,LAKINI BARAZA LA KAZI,HAILETI MANTIKI WALA LUGHA INAYOENDANA.NADHANI FALSAFA YA NENO HAPA KAZI TUU INAKWENDA MBALI,KUSIKO.
Mdau wa 12:29 PM, hii inaitwa working session ya cabinet. Kuna ubaya gani kwa Mawaziri kujumuika pamoja na kujadiliana? Sorry, wewe mtu wa Chadema unaumia hapa, maana hayupo Waziri toka ukawa kwenye cabinet hii. HAPA KAZI TU, wewe NYAMAZA TU!
Post a Comment