Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akieleza jambo mbele ya Waandishi wa Habari pamoja na wadau wa Ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo kwa haraka leo 19 Desemba, 2015 jijini Dar es Salaam.
Moja ya vituo vitakavyotumiwa na mabasi yaendayo kwa haraka pindi mradi utakapo kamilika kwa ajili ya kubeba abiria.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akiingia katika moja ya vituo vya mabasi yaendayo kwa haraka (BRT) akiwa ameongozana na wadau wa Ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo kwa haraka leo 19 Desemba, 2015 jijini Dar es Salaam.
Kituo cha mabasi yaendayokasi cha Kangwani jijini Dar es Salaam ikiwa ni moja ya vituo vitakavyotumika na mabasi hayo tarehe 10 Januari, 2016.
Mabasi yaendayo kasi yakiwa katika picha tayari kwa kuanza safari za kubeba abiria ifikapo tarehe 10 Januari, 2016.
(Picha zote na Abraham Nyantori)
No comments:
Post a Comment