Mnakaribishwa sana
kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
na uchaguzi 2016 wa viongozi wapya wa Wakatoliki DMV
Ibada itafanyika katika kigango cha
Capuchin College
4121 Harewood Road, NE,
Washington, DC, 20017
Jumapili Tarehe 31 Januari 2016.
Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha
ndugu, marafiki na jamaa zako.
Pia unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya
barua pepe na Wakatoliki DMV.
Tupatie mawasiliano yako kwenda kwa:-
Kwa niaba ya Fr. Leandry Kimario, ni katibu Dani Steven.
Wenye mitandao pokeeni shukrani zetu za dhati kwa huduma zenu bora kwa jamii. Mola wetu awajalie heri, tunu na fanaka za mwaka mpya 2016.
1 comment:
Hallelujah!!
Post a Comment