JIJI LA DAR LENYE VIEW YA KUPENDEZA KUTOKA USAWA WA BAHARI YA HINDI.
Jiji la Dar ni moja ya miji dunia yenye kupambwa na bahari kama unavyoona katika hii picha kilichokosekana hapa ni vikwangua anga tu na inge kuwa kama jiji la Monaco lililopo ulaya magharibi mpakani na Ufaransa.
No comments:
Post a Comment