baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa katika ukumbi wa kikao cha baraza la madiwani aliyeshika mkono kifuani ni mbunge viti maalum chadema salome makamba
wakuu wa idara wakiwa mbalimbali za halmashauri ya mji wakiimba wimbo wa taifa kabla ya baraza kuanza
Mh Mbunge viti maalum salome makamba akisikiliza majibu toka kwa mkurungezi wa mji EDSON MUSUMBA
Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya mjin wa kahama
madiwani wakiwa katika kikao cha baraza wakisikiliza hoja za baadhi ya madiwani katika ukumbi wa halmashauri
Wakuu wa idara wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wametakiwa kujenga tabia za kuwatembelea madiwani na kukusanya taarifa za maendeleo ya Miradi inayojengwa kama sehemu ya uwajibikaji
Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa jimbo la kahama Bw. Jumanne Kishimba wakati akitoa Mchango kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Mji huo
Kishimba amesema kuna baadhi ya wakuu wa Idara ambao wamekuwa wakiratibu na kuandaa taarifa za ujenzi wa Miradi hiyo wakiwa Ofisini bila kuwashirikisha madiwani
Mbunge huyo amesema jambo hilo siyo sahihi kwakuwa madiwani ndio wawakilishi wa wananchi hivyo wanatakiwa kuhusishwa katika kuandaa na kutoa taarifa hizo.
MOHAB MATUKIO
No comments:
Post a Comment