Saturday, January 16, 2016

KIKWETE NA MWAKILISHI MAALUM WA MAREKANI

MWENYEKITI wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiwa na Mjumbe Maalum wa Marekani katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Thomas Perriello, baada ya mazungumzo yao kuhusu hali ya Burundi, yaliyofanyika jana, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).

9 comments:

Anonymous said...

Wanakosea kuonana na Rais mstaafu JK kuhusu swala linalohusu diplomacy, wakati JPM ndio mkuu wa nchi. CCM ni political party, na hivyo siyo wawakilishi kwenye foreign policy. Is this a conspiracy to undermine JPM leadership? Please, stop huu mchezo wa kitoto, waachieni JPM na timu yake wafanye kazi za kutatua maswala ya kidiplomasia, JK is no longer at the helm, period!

Anonymous said...

JK inabidi kupumzika lakini kila kukisha yupo kwenye media ndiyo maana nchi ilikuwa na wakwepa kodi, na wasafiri wa nchi za nje kulitia hasara taifa.waTZ wamechoka na jina Kikwete kilisikiasikia, JK namfananisha na G.Bush alivyovuruga kwenye utawala wake waMarekani hawataki kulisikia lile jina na Bro J.Bush ana hali mbali sana kisiasa.

Anonymous said...

Kikwete na timu yake hawana busara. It's all about him.

Anonymous said...

You are very right. Why wouldn't he also meet the chairmen of the other parties? This is why I hate Tanzanian politics. It is hypocrisy to say the least.

Anonymous said...

Bulshit

Unknown said...

How does he communicate with Americans? He can barely speak English. Ndio maana hakuna kitakachokua accomplished... smh!

Anonymous said...

Haya. Nadhani baba Riz atakuwa amewasoma. Iliyobaki achukue hatua wabongo wamechoka kusikia jina lake kila siku kwenye media akapumnzike tu, ndio hali harisi. Hakuna marefu yasiyo....

Anonymous said...

It's true! JK is a disappointment, disaster and arrogant. He likes to be in control and spot light. Most of Tanzanian don't want to hear his name again, especially things that our new president can handle wisely.

Anonymous said...

Kazi ni kazi endelea mzee hakuna kuchoka HAPA KAZI TU.