Thursday, January 21, 2016

MAJIMAJI YAKUBALI KICHAPO 5-0 KUTOKA KWA YANGA

 Kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko akichuana na beki wa Majimaji.(Picha na Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Majimaji.
 Kiungo wa Majimaji Lulanga Mapunda akichuana na Donald Ngoma wa Yanga.
 Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la 5 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Majimaji ya Songea uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa.
 Kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko (kulia), akikumbatiana kwa furaha na Amisi Tambwe baada ya kuifungia timu yake bao la 5-0 dhidi ya Majimaji ya Songea. 
 Furaha ya ushindi.

 Golikipa wa Majimaji, David Bururhan akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Golikipa wa Majimaji, David Bururhan akiokoa hatari mbele ya Amisi Tambwe.

 Mwamuzi wa mchezo wa Yanga na Majimaji, John Funuel akimkabidhi mpira mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe baada ya kuifungia timu yake 'hat trick'.

No comments: